Posts

Showing posts from May, 2025

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO.

Image
 

ANGALIZO la upepo mkali maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi katika mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Image
 

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE: 10/05/2025.

Image
 

DKT. YONAZI AFIKA MSIBANI KWA HAYATI MSUYA, ATOA SALAMU ZA POLE.

Image
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amefika msibani kwa Hayati Cleopa Msuya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye aliyefariki tarehe 07 Mei, 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo. Dkt. Yonazi amefika nyumbani kwa hayati Cleopa Msuya Upanga Jijijni Dar es Salaam akiongozana na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu na kutoa salamu za pole kwa familia ya Hayati Msuya.

Utabiri wa hali ya Hewa kwa saa 24 zijazo.

Image
 

Angalizo la Mvua Kubwa katika mikoa ya Dar es salaam,Tanga na Pwani.

Image
 

Papa Mpya Atangazwa Rasmi: Kardinali Robert Prevost Achaguliwa Kuwa Papa Leo XIV.

Image
Kardinali Robert Prevost, mzaliwa wa Chicago, Marekani, ametangazwa rasmi kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki duniani na atajulikana kwa jina la Papa Leo XIV. Papa Leo XIV mwenye umri wa miaka 69, alihudumu hadi hivi karibuni kama Mkuu wa Dicastery ya Maaskofu katika Vatican. Pamoja na kuwa raia wa Marekani, Papa huyu mpya pia ana uraia wa Peru, ambako amehudumu kwa muda mrefu katika shughuli za kichungaji. Akihutubia maelfu ya waumini waliokusanyika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa mara yake ya kwanza kama Papa, alitoa ujumbe wa matumaini na amani: “Amani iwe nanyi nyote. Wapendwa, ndugu na kina dada, hii ni salamu ya kwanza ya ufufuko wa Kristo. Ningependa kutoa salamu ya amani iwafikie familia zenu, ninyi nyote, popote mlipo. Amani iwe nanyi.” Uchaguzi huu unafuatia kifo cha Papa Francis aliyefariki dunia Jumatatu ya Pasaka tarehe 21 Aprili akiwa na umri wa miaka 88. Mazishi yake yalifanyika Jumamosi tarehe 26 Aprili na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka kote duniani. M...

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO.

Image
 

JOWUTA sasa ni mwanachama rasmi wa TUCTA

Image
CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), leo kimetangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA). Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza neema kwa wafanyakazi wa serikali kwamba kuanzia Julai 2025 mshahara utaongezeka kwa asilimia 35.1 na kuwezesha wafanyakazi wa kima cha chini kulipwa shilingi 500,000 kutoka 370,000 ya sasa. Taarifa hiyo ya kufurahisha kwa JOWUTA imetolewa na Katibu Mkuu wa TUCTA, Henry Nkunda, wakati wa akisoma risala ya wafanyakazi mbele ya Rais Samia, kwenye maadhimisho ya sherehe za Mei mosi Kitaifa zilizofanyika kwenye Viwanja vya Bombadia mjini Singida leo. Nkunda alisema pamoja na JOWUTA vyama vingine ambavyo nimepokelewa kama wanachama wapya ni Chama cha Wafanyakazi wa Kampuni Binafsi za Ulinzi nchini (TUPSE) na Chama cha Wafanyakazi za Huduma za Viwandani Tanzania (TASIWU). Baada ya vyama hivyo vitatu kuwa mwanachama rasmi wa TUCTA sasa itakuwa na jumla ya vyama vya wafanyakazi  wanachama 16. ...

Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo.

Image
 

RC CHALAMILA AONGOZA MAADHIMISHO YA MEI-MOSI DAR ES SALAAM

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameongoza maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Mkoani humo na kuwataka wafanyakazi kufanya kazi kwa umahiri na uadilifu huku wakiamini kuwa Serikali inawapenda na inaendelea kushughulikia changamoto zao  RC Chalamila akizungumza Jijini Dar es salaam leo  katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa kwenye viwanja vya Tanganyika Perkas, amewataka wafanyakazi kufanyakazi kwa uadilifu bila kufanya ubadhilifu kwenye utendaji wao ili kila mwananchi anufaike na utumishi wao kwani Serilali inaendelea kushughulikia changamoto zao Aidha RC Chalamila ameeleza kusikitishwa na baadhi ya watumishi  wasiokuwa waadilifu wanaopelekea baadhi ya wananchi kuichukia Serikali  kutokana kutowatendea haki pale wanapohitaji huduma mbalimbali ambapo amesema kutowavumilia watumishi wa aina hiyo endapo tabia hizo zitajitokeza hatua za kisheria zitachukuliwa,ametolea mfano watumishi waliovamia saluni ya...