Mkalipa ACHANJA MBUGA kuhamasisha vijana kujiandikisha katika DAFTARI LA WAPIGA KURA.



Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Pangani ndugu NASRI MKALIPA ameendelea na ziara ya kuhamasisha Vijana kujiandikisha katika DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA KWANZA.


Katika ziara hiyo leo Jumanne 04 Machi, 2025 ndugu MKALIPA alitembelea na kuhamasisha Vijana wa Kata ya UBANGAA katika Kijiji cha MSEKO na MEKA*.



Kupitia hamasa hiyo Vijana wengi wameendelea kujitokeza katika zoezi hilo lililoanza tarehe 01/03/2025 na kutarajiwa kufikia tamati 07/03/2025 ambapo vituo vinafunguliwa kuanzia Saa 2:00 kamili Asubuhi hadi Saa 12:00 kamili Jioni.





Comments

Popular posts from this blog

RC CHALAMILA AWATAKA WENYEVITI NA WATENDAJI KATA NA MITAA DAR KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA.

MAHAFALI YA NANE SHULE YA AWALI NA MSINGI SAI YAFANA, WAZAZI WATAKIWA KULEA WATOTO KATIKA MISINGI YA MAADILI MEMA.