Rais Samia ajumuika na viongozi mbalimbali wa dini katika Iftar.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na  makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.







Comments

Popular posts from this blog

RC CHALAMILA AWATAKA WENYEVITI NA WATENDAJI KATA NA MITAA DAR KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA.

MAHAFALI YA NANE SHULE YA AWALI NA MSINGI SAI YAFANA, WAZAZI WATAKIWA KULEA WATOTO KATIKA MISINGI YA MAADILI MEMA.