RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI WAPYA IKULU NA BALOZI.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wapya ambapo amemteua Bw. Tido Mhando kuwa Mshauri wa Rais wa Habari na Mawasiliano

Huku Bw. Bakari Steven Machumu akichukua nafasi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Bi. Sharifa Bakari Nyanga aliyepewa majukumu mengine. 

Aidha, Bw. Lazaro Samuel Nyalandu ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania.



Comments

Popular posts from this blog

RC CHALAMILA AWATAKA WENYEVITI NA WATENDAJI KATA NA MITAA DAR KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA.

MAHAFALI YA NANE SHULE YA AWALI NA MSINGI SAI YAFANA, WAZAZI WATAKIWA KULEA WATOTO KATIKA MISINGI YA MAADILI MEMA.