WAZIRI NDEJEMBI AWASILI TABORA KWA ZIARA YA KIKAZI.

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili wilayani Urambo Mkoani Tabora kwa ziara ya Kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Urambo, Dkt. Khamis Mkanachi, leo tarehe 14 Februari 2026.


Katika Ziara hiyo Waziri Ndejembi atatembelea na kukagua Kituo cha kupooza na Kusambaza umeme wilayani Urambo pamoja na kutembelea na kukagua kiwanda kiwada cha kuzalisha Nguzo za Zege katika Manispaa ya Tabora.




Comments

Popular posts from this blog

RC CHALAMILA AWATAKA WENYEVITI NA WATENDAJI KATA NA MITAA DAR KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA.

MAHAFALI YA NANE SHULE YA AWALI NA MSINGI SAI YAFANA, WAZAZI WATAKIWA KULEA WATOTO KATIKA MISINGI YA MAADILI MEMA.