REA YAWAALIKA WADAU KUTEMBELEA BANDA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA CHINANGALI



Chinangali Park - Dodoma


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa  Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho ya  Kitaifa ya Wiki ya Utumishi kwa Umma 2026 yaliyoanza leo jijini Dodoma. 


Maadhimisho ya mwaka huu yamepambwa na kaulimbiu inayosema *"Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu"*

Comments

Popular posts from this blog

RC CHALAMILA AWATAKA WENYEVITI NA WATENDAJI KATA NA MITAA DAR KUSIMAMIA ULINZI NA USALAMA.

MAHAFALI YA NANE SHULE YA AWALI NA MSINGI SAI YAFANA, WAZAZI WATAKIWA KULEA WATOTO KATIKA MISINGI YA MAADILI MEMA.